Mkoa wa Lusaka
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa mkoa wa Lusaka katika Zambia
Mkoa wa Lusaka ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,391,329 kwenye eneo la 21,898 km². Mji mkuu ni Lusaka.
Jiografia [hariri]
Miji mikubwa ni pamoja na Lusaka na Luangwa.
Zambezi na Luangwa ni mito muhimu zaidi.
Picha za Lusaka [hariri]
-
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Lusaka
| Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lusaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
| +/- | |