Kafue (mto)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mto wa Kafue | |
|---|---|
|
|
|
| Chanzo | kaskazini ya Zambia karibu na mpaka wa Kongo (Kinshasa) |
| Mdomo | mto Zambezi mpakani na Zimbabwe |
| Nchi | Zambia, Kongo, Zimbabwe |
| Urefu | 960 km |
| Kimo cha chanzo | 1,350 m |
| Tawimito upande wa kushoto | Lufupa, Mushingoshi, Lungwa |
| Mkondo | 320 m³/s wastani |
| Eneo la beseni | 155,000 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Kafue, Mazabuka |
Mto Kafue ni kati ya kandomito mikubwa ya mto Zambezi una chanzo chake kwenye mpaka wa Kongo na Zambia. Urefu wa mwendo wake ni takriban kilomita 960.
Inajiunga na Zambezi karibu na mji wa Chirundu (Zimbabwe).
Ni kati ya mito mikubwa ya Zambia na maji yake husaidia sana kilimo pamoja na kutengeneza umeme.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kafue (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |