Mdundiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mdundiko ni moja ya ngoma za matambiko ya asili inayofanywa na kabila la Wazaramo wanaoishi jiji la Dar es Salaam, na makabila mengine ya Tanzania mashariki.

Mdundiko huhusishwa na harusi na taratibu za kuadhimisha kubalehe kwa wasichana.

Mdundiko umehamasisha muziki maarufu kama Mambo Jambo na Bongo Flava ndani ya Tanzania.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdundiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.