Martha Thomas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas mnamo 2022

Martha Ellen Thomas (alizaliwa 31 Mei 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1]na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fishel's 'dream' debut gives Chelsea winning start", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-28 
  2. "Scots win 10-0 in McLaren's first game", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-28 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martha Thomas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.