Martha Logan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Martha Logan | |
|---|---|
| muhusika wa 24 | |
![]() Jean Smart kama Martha Logan |
|
| Imechezwa na | Jean Smart |
| Misimu |
5, 6 |
| Maelezo | |
Martha Logan ni jina la kumwita muhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusina ulichezwa na Jean Smart. Akiwa kama mwanamke wa kwanza wa Marekani wa mfululizo wa 24, ana uwezo, lakini ni mwanamama asiyetabirika na asiyesawa wa Rais Charles Logan.[1][2] Uhusika huu wa Martha Logan umevunja rekodi na kuufanya uhusika kupata Tuzo ya Emmy mnamo mwaka wa 2006.
Marejeo [hariri]
- ↑ "10:00 AM - 11:00 AM". Writer: Joel Surnow Director: Brad Turner. 24. 2006-01-16. No. 100, season 5.
- ↑ Smart as a nutter :thewest.com.au. www.thewest.com.au. Rudishwa juu ya 2008-04-18.
|
||||||||||||||||||||
