Teri Bauer
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Teri Bauer | |
|---|---|
| muhusika wa 24 | |
![]() Leslie Hope kama Teri Bauer |
|
| Imechezwa na | Leslie Hope |
| Hali | Amekufa |
| Familia | Jack Bauer, Kim Bauer |
| Misimu |
1 |
| Mionekano Mingine | Hakuna |
| Maelezo | |
Teri Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Leslie Hope.
[hariri] Katika uhusika
Teri Bauer alizaliwa mnamo mwaka wa 1968.[1] Ni mke wa Jack Bauer na ndiye mama wa Kim Bauer. Ana digrii ya mambo ya upambaji na ubunifu wa mavazi, aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha California, na alifanya kazi kama mbunifu wa kujitegemea.
[hariri] Marejeo
- ↑ Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU, First, Harper Collins, 7. ISBN 0-06-053550-4.
|
||||||||||||||||||||
