Jean Smart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jean Smart
Jean Smart (2008).jpg
Mwigizaji Jean Smart akiwa katika HBO Post-Emmys Party, Pacific Design Center, mnamo mwezi Septemba 2008
Amezaliwa Jean E. Smart
13 Septemba 1951 (1951-09-13) (umri 60)
Seattle, Washington
Ndoa Richard Gilliland

Jean E. Smart (amezaliwa tar. 13 Septemba, 1951) ni mshindi wa tuzo nyingi-nyingi za Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu, televisheni, na mcheshi kutoka nchini Marekani. Smart anafahamika sana kwa uhusika wa vichekesho, moja kati ya uhusika wake uliomaarufu ni ule aliocheza kama Charlene Frazier Stillfield kutoka katika ucheshi wa CBS maarufu kama Designing Women.

Baadaye akapata umaarufu zaidi baada ya kucheza kama Martha Logan kwenye mfululizo wa 24. Smart ameonekana tena kama Regina Newly katika ucheshi unaorushwa hewani na ABC maarufu kama Samantha Who?, ambayo hiyo ndiyo iliyompelekea kupata tuzo ya Emmy kwa mwaka wa 2008.

[hariri] Viungo vya Nje

People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Smart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine