Mariam Dahir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariam Dahir ni daktari wa Somalia aliye mtafiti na mwanaharakati wa kupambana na ukeketaji dhidi ya wanawake.[1] akiwa ni sehemu ya timu ndogo iliyoandaa sheria dhidi ya ukeketaji (FGM) huko Somaliland.[2] Dahir alizaliwa na ameishi Hargeisa.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Dahir alihitimu elimu ya matibabu ya Chuo Kikuu cha Hargeisa mwaka 2010. Alipata stashahada ya uzamili katika utafiti wa afya ya umma kutoka Taasisi ya James Lind huko Singapore baaadae alipokea shahada ya uzamili wa sayansi katika usimamizi wa huduma za afya kutoka chuo cha Università telematica internazionale Uninettuno.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "5 Activists Leading the Fight Against Female Genital Mutilation in Africa", Global Citizen, 5 February 2020. Retrieved on 29 October 2020. (en) 
  2. "Why do so many girls still face FGM? | DW | 06.02.2020", DW.COM, DW Akademie. Retrieved on 29 October 2020. 
  3. "RAKO | Mariam Dahir". Rako Research and Communication Centre. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-20. Iliwekwa mnamo 29 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Dr. Mariam DAHIR | African Center for Systematic Reviews and Knowledge Translation". chs.mak.ac.ug. Africa Centre for Systematic Reviews and Knowledge Translation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-20. Iliwekwa mnamo 29 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariam Dahir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.