Marcus Stephen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcus Stephen

Marcus Stephen (amezaliwa 1 Oktoba 1969) ni rais wa Nauru tangu tarehe 19 Desemba 2007. Kabla ya kuwa mwanasiasa, alikuwa mwanariadha upande wa mchezo wa kuinua vitu vizito na kuhudhuria Michezo ya Olimpiki miaka ya 1992, 1996 an 2000.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcus Stephen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.