Mambo Mambo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| “Mambo Mambo” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya Lou Bega kutoka katika albamu ya A Little Bit of Mambo |
|||||
| Imetolewa | 5 Juni 2000 | ||||
| Muundo | CD single | ||||
| Aina | Pop ya Kilatini, Mambo | ||||
| Urefu | 3:00 (toleo halisi)
3:17 (toleo la redio) |
||||
| Studio | Lautstark / BMG / RCA Records | ||||
| Mtunzi | Lou Bega Zippy Davids Frank Lio Donald Fact |
||||
| Mtayarishaji | Goar B Frank Lio Donald Fact |
||||
| Mwenendo wa single za Lou Bega | |||||
|
|||||
"Mambo Mambo" ni single ya nne ya mwanamuziki wa Kijerumani - Lou Bega. Single inatoka katika albamu ya A Little Bit of Mambo. Imekuja kuwa kibao pekee katika chati za Single za Kifaransa ambamo ilishisha nafasi ya 11 na pia katika chati za Walloon singles chart ambao pia ilishika nafasi ya 25.
Orodha ya nyimbo [hariri]
- CD single
- "Mambo Mambo" (Toleo la Redio) - 3:17
- "Baby Keep Smiling" (Toleo la Albamu) - 3:10
