Tricky, Tricky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Tricky, Tricky”
“Tricky, Tricky” cover
Single ya Lou Bega
kutoka katika albamu ya A Little Bit of Mambo
Imetolewa 7 Desemba 1999
Muundo CD single
Aina Pop ya Kilatini
Urefu 3:17 (toleo la redio)
5:10 (iliyochanganywa kabisa)
Studio Lautstark / BMG / RCA Records
Mtunzi Lou Bega
Zippy Davids
Frank Lio
Donald Fact
Mtayarishaji Goar B
Frank Lio
Donald Fact
Mwenendo wa single za Lou Bega
"I Got a Girl"
(1999)
"Tricky, Tricky"
(1999)
"Mambo Mambo"
(2000)

"Tricky, Tricky" ni jina la wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa in 1999, kutoka katika albamu yake ya kwanza ya A Little Bit of Mambo. Wimbo ulikuwa maridhawa kwa nchi ya Marekani na Sweden, ingawa ulikuwa umepitwa na kile kibao kikali cha "Mambo No. 5". Mashairi ya wimbo huu yanaelezea mwanamke anayependa kutumia fedha nyingi, na vipi mahusiano yake baina yake yeye na mwanaume hayatokuwa.

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (2000) Nafasi
iliyoshika
Swedish Sverigetopplistan Singles Chart 55
U.S. Billboard Hot 100 74

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Maxi single
  1. "Tricky, Tricky" (Toleo la Redio) - 3:17
  2. "Tricky, Tricky" (Iliyochanywa Kabisa) - 5:10
  3. "Tricky, Tricky" (Tricky Club Mix) - 5:28
  4. "Tricky, Tricky" (Vyombo Vitupu) - 3:17

Kwenye vyombo vya habari[hariri | hariri chanzo]