Majadiliano ya mtumiaji:JohnLeto

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

CGN2010 (majadiliano) 19:28, 18 Julai 2010 (UTC)[jibu]


Bwana John, umeanza kazi kubwa kwenye makala ya Arusha. Maona bado uko mgeni katika mitindo ya wikipedia. Nakifurahia kazi yako nakushauri uendelee polepole kiasi mwanzoni. Umeshaangalia wikipedia:mwongozo?

Kazi yako imeboresha makala lakini si vema kufuta yale yaliyopo tayari bila kutangaza nia yako kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano. Katika makala hii umefuta wa kosa interwiki na jamii zilizokuwepo na ni la lazima.

Ukipanusha haraka ni muhimu hasa kutafuta katika wikipedia kama jambo fulani lina makala yake tayari na kuweka kiungo. Mfano ni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda au wilaya ya Karatu. Sentensi kadhaa nimeshangaa kidogo. Je ulitumia google-translate? Kwa kawaida haifaa kati ya Kiingereza na Kiswahili. Pamoja na hayo ni vema kupitilia tena tahajia jinsi ilivyo. Je unafikiri ya kwamba unaweza kuyaangalia upya? Au tuendelee kushauriana zaidi? --Kipala (majadiliano) 13:13, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]

Salaaam! Pia unatakiwa uweke viwango vya lugha unazozifahamu. Kwa Kiswahili, Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa au lugha zozote unazozijua - kasoro za kienyeji - hehehe! Karibu sana.--MwanaharakatiLonga 14:31, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]
Pole! Usione nakufuata-fuata. Hebu nipe kirefu cha TK kwanza. Maana siambui kitu ndugu yangu we! Cheers.--MwanaharakatiLonga 14:39, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]
Njoja kwanza. Tr=Kituruki au niseme "Tuurkish". Je, unajua Kituruki mshikaji? Duh! Lete uhondo!!!--MwanaharakatiLonga 14:35, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]
Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kwamba lugha inatumika nchini Turkmenistan. Je, unajua kilugha hicho? Aaah, si mbaya!--MwanaharakatiLonga 14:42, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]
Sawa. Kwa hiyo unaongea kiasi cha tatu eeh! Ngoja sasa nitengeneze jedwali lake.--MwanaharakatiLonga 14:56, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]
Hey big bro! Tayari kinaonekana kigezo cha TR-3! Tazama ukurasa wako wa mtumiaji... Cheers.--MwanaharakatiLonga 15:10, 19 Julai 2010 (UTC)[jibu]

Re:Vipi kamanda[hariri chanzo]

John, Salamu. Umeona kwamba nimeweka baadhi ya vitu uvipendavyo eeh! Lakini pia nimeona baada ya kumaziliza kuandika ujumbe wako kwenye ukurasa wa majadiliano - jina lako halitokei kama akina sisi. Ukitaka jina lako litokee, basi mwishoni kabisa mwa (yaani, pale umalizapo kuandika) - uandike alama hizi --~~~~ - Kumbuka, uziweke mwisho wa kuandika kwako, basi jina lako, saa, tarehe ulioandika ujumbe huo utaonekana! Ukiwa ujaelewa, basi nijulishe na nitakuelezekeza zaidi. Karibu sana.--MwanaharakatiLonga 13:03, 21 Julai 2010 (UTC) [jibu]

eğer hasta başarı Biliyordum. Seni çok bunun için çalışmak gerekmez. Sadece dışarı çocuklarınızın! Umeweza bwana! basi fanya hivyo - nadhani umeona jina lako limetokea! Hakuna ku-boo tena.--MwanaharakatiLonga 13:35, 21 Julai 2010 (UTC) [jibu]