Wilaya ya Karatu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Karatu ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Karatu ilihesabiwa kuwa 178,434 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Karatu - Mkoa wa Arusha - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Baray | Buger | Daa | Endabash | Endamarariek | Ganako | Kansay | Karatu | Mang'ola | Mbulumbulu | Oldeani | Qurus | Rhotia |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Karatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |