Lina Chebil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lina Chebil (alizaliwa 19 Julai 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza katika Klabu ya ASF Sousse na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Match Report of United Arab Emirates vs Tunisia - 2021-10-06 - FIFA Friendlies - Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 8 November 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lina Chebil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.