Kyerwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Kyerwa | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Kagera |
| Wilaya | Karagwe |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 13,953 |
Kyerwa ni jina la wilaya mpya katika Mkoa wa Kagera, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2002, kata ya Kyerwa ilikuwa na wakazi wapatao 13,953. [1]
Wilaya ya Kyerwa ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 ikiwa na makao makuu Ruberwa.
Marejeo[hariri]
- ↑ Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kyerwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |