Kwango
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mto wa Kwango (Cuango) | |
|---|---|
|
|
|
| Chanzo | Nyanda za juu za Bié (Angola) |
| Mdomo | Kasai |
| Nchi | Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
| Urefu | 1,100 km |
| Kimo cha chanzo | takriban 1,500 m |
| Mkondo | ?? m³/s |
| Eneo la beseni | ?? km² |
Kwango ni mto katika Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo ni pia tawimto mrefu wa mto Kasai. Chanzo chake iko nyanda za juu za Bié katika Angola ikielekea kaskazini. Inakuwa mpaka kati ya Angola na Kongo halafu kuingia ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inaishia kwenye mto wa Kasai karibu na mji wa Bandudu.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |