Korongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Makorongo ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani.

Jina hili hutumika kwa jamii mbili ya ndege:

Korongo pia ni jina la mnyamapori mkubwa mwenye mabaka meusi kichwani na pembe zilizopindika kuelekea nyuma (Korongo (Bovidae))

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa