Yangeyange (Jenasi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Yangeyange
Yangeyange
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pelecaniformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Bubulcus Bonaparte, 1855

Egretta T. Forster, 1817
Pilherodius Reichenbach, 1853
Syrigma Ridgway, 1878

Spishi: Angalia katiba

Yangeyange ni ndege wakubwa wa jenasi mbalimbali ya nusufamilia Ardeinae katika familia Ardeidae wenye miguu mirefu, shingo ndefu na domo refu na jembamba. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa ni weupe au weusi au rangi hizi mbili (pengine kijani au buluu). Spishi nyingine huitwa kulasitara au dandala. Yangeyange wengine hupenda kula samaki, wengine hula wadudu na wanyama wadogo kama vyura na mijusi. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya miti, matete au mafunjo.

Spishi za Afrika [hariri]

Spishi za mabara mengine [hariri]

Viungo vya Nje [hariri]

Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: