Majadiliano:Korongo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mchango wa Telesphory[hariri chanzo]

Telesphory salaam. Ukitaka kuchanga matini kuhusu ndege tafadhali yaingize katika makala za ndege hawa. Ukurasa huu ni wa kutofautisha maana. ChriKo (majadiliano) 09:41, 23 Agosti 2015 (UTC)[jibu]