Kiwakilishi nafsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiwakilishi nafsi ni aina ya neno katika lugha ambalo hurejea nafsi ya kiumbe hai. Kwa Kiswahili, viwakilishi nafsi ni mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi na wao.

[hariri] Marejeo

  • Massamba, David. 2004. "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwakilishi nafsi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine