Kiazi kikuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kiazi kikuu
(Dioscorea spp.)
Mimea ya kiazi kikuu
Mimea ya kiazi kikuu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
Oda: Dioscoreales (Mimea kama kiazi kikuu)
Familia: Dioscoreaceae (Mimea iliyo na mnasaba na kiazi kikuu)
Jenasi: Dioscorea
Plum. ex L.
Spishi: D. alata L.

D. bulbifera L.
D. cayenensis Lam.
D. dumetorum (Kunth) Pax
D. esculenta (Lour.) Burkill
D. opposita Thunb.
D. rotundata Poir.
D. trifida L.f.

Ni kiazi kikubwa sana kinafanana na kiazi kitamu kikipikwa lakini hiki nikikubwa sana na kina utomvu mwingi.ni kizuri kwa afya kama kikiliwa kwa kuchemshwa tu na sio kukaanga.