Kaspar Capparoni
Kaspar Capparoni | |
---|---|
Kaspar Capparoni mjini Koloseo akiwa na Rex | |
Amezaliwa | 1 Agosti 1964 |
Kazi yake | mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia |
Kaspar Capparoni (amezaliwa tar. 1 Agosti 1964) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia.
Maisha ya mwanzo na filamu
[hariri | hariri chanzo]Capparoni alizaliwa mjini Roma, Italia. Kaspar Capparoni ameanza kujishughulisha na msuala ya ugizaji tangu akiwa na umri wa miaka 18. Alipata kushiriki katika moja kati ya filamu zilizoongozwa na Bw. Giuseppe Patroni Griffi. Kunako mwaka wa 1984, pia alipata kuonekana katika filamu ya Phenomena, iliyoongozwa na mtaalamu Dario Argento. Kaspar, pia amepata kucheza katika mafilamu kibao yaliyomaarufu katika ulimwengu huo. Filamu hizo ni pamoja na:
- Colpi di luce (1985), imeongozwa na Enzo G. Castellari
- Gialloparma (1999), imeongozwa na Alberto Bevilacqua
- Encantado (2002), imeongozwa na Corrado Colombo
- Il Ritorno del Monnezza (2005), imeongozwa na Carlo Vanzina
- Two Families na Il Sole nero, zote za mwaka wa 2007.
Pia amepata kufanya kazi katika vipindi kadhaa vya televisheni, ambavyo vinajumlisha: tamthiliya ya Ricominciamo (2000, mfululizo mdogo wa katika TV), Piccolo mondo antico (mfululizo mdogo wa katika TV), Incantesimo 4 (2001), Elisa di Rivombrosa (2003), La caccia (2005, mfululizo mdogo wa katika TV uliongozwa na Massimo Spano, akiwa kama adui wa Alessio Boni), na Capri (2006,mfululizo mdogo wa katika TV).
Kunako 2007, amecheza kama mhusika mkuu katika mfululizo mdogo wa Donna Detective ambayo imeongozwa na Cinzia TH Torrini. Mnamo mwaka wa 2008, pia alishiriki katika filamu ya Inspector Rex, ikiwa chini ya uongozi wake Marco Serafini, pia katika mfululizo wa Capri 2 iliyoongozwa na Andrea Barzini na Giorgio Molteni.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Phenomena (1984), imeongozwa na Dario Argento
- Colpi di luce (1985), imeongozwa na Enzo G. Castellari
- Gialloparma (1999), imeongozwa na Alberto Bevilacqua
- Encantado (2002), imeongozwa na Corrado Colombo
- Il ritorno del Monnezza (2005), imeongozwa na Carlo Vanzina
- Two families (2007), imeongozwa na Barbara Wallace and Thomas R. Wolfe
- Il sole nero (2007), imeongozwa na Krzysztof Zanussi
Televisheni
[hariri | hariri chanzo]- Addio e ritorno (1995), imeongozwa na Rodoldo Roberti - TV Movie
- Tequila e Bonetti (2000), imeongozwa na Bruno Nappi e Christian I. Nyby II - Episodio: Cuore rapito - Serie TV
- La casa delle beffe (2000), imeongozwa na Pier Francesco Pingitore - Miniserie TV
- Ricominciare (2000-2001), various directors - Soap opera
- Piccolo mondo antico (2001), directed by Cinzia TH Torrini - TV Series
- Incantesimo 4 (2001), directed by Alessandro Cane e Leandro Castellani - TV Series
- Elisa di Rivombrosa (2003), imeongozwa na Cinzia TH Torrini - TV series
- La caccia (2005), imeongozwa na Massimo Spano - Miniserie TV
- Provaci ancora Prof (2005), imeongozwa na Rossella Izzo - Episode: La mia compagna di banco - Miniserie TV
- Capri (2006), imeongozwa na Francesco Marra and Enrico Oldoini - Serie TV
- Donna Detective (2007), imeongozwa na Cinzia TH Torrini - Miniserie TV
- Rex (2008), imeongozwa na Marco Serafini - Miniserie TV
- Capri 2 (2008), imeongozwa na Andrea Barzini and Giorgio Molteni - Serie TV
- Il giudice Mastrangelo 3 (2009), directed by Enrico Oldoini - Fiction tv
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaspar Capparoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |