Kanuto Lavard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kanuto katika mchoro wa ukutani, kanisa la Vigersted, karibu na Ringsted.

Kanuto Lavard (kwa Kideni: Knud Lavard; Roskilde, Denmark, 12 Machi 1096msitu wa Haraldsted, karibu na Ringsted, Zealand, Denmark, 7 Januari 1131) alikuwa mtawala wa kwanza wa Schleswig chini ya wafalme wa Denmark na wa Ujerumani vilevile[1][2][3][4][5].

Alitawala kwa busara na haki lakini akaja kuuawa kwa husuda na mdogo wake Magnus, baadaye mfalme Magnus I wa Sweden (1106 hivi - 1134).

Kanuto Lavard alitangazwa mtakatifu na Papa Aleksanda III mwaka 1169.[6][7]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[8].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. He was an ancestor of the Valdemarian kings (Valdemarerne) and of their subsequent royal line. Canute Lavard was the father of King Valdemar I of Denmark (Valdemar den Store) and grandfather of King Valdemar II of Denmark (Valdemar Sejr).
  2. "Valdemarstiden 1157-1241". Aarhus University. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo May 1, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Valdemar den Store". Kings of Denmark.dk. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-21. Iliwekwa mnamo January 1, 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Valdemar Sejr". Kings of Denmark.dk. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-21. Iliwekwa mnamo January 1, 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Kong Valdemar Sejr". Danmarks Konger. Iliwekwa mnamo May 1, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Knud Lavard". Danmarks Konger. Iliwekwa mnamo January 1, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. Carl Frederik Bricka. "Magnus (Nielsen), 1106-1134". Dansk biografisk Lexikon. Iliwekwa mnamo May 1, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John (1993) The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. (New York: Penguin Books) ISBN|0-14-051312-4
  • Mortensen, Lars Boje (2006) The Making of Christian Myths in the Periphery of Latin Christendom (Ca. 1000-1300) (Museum Tusculanum Press) ISBN|978-87-635-0407-2

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.