Karinthia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kärnten)
Mahali pa Karinthia katika Austria
Karinthia (Kijerumani: Kärnten, Kislovenia: Koroška, Kikroatia: Koruška) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la 9.364 km². Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Gerhard Dörfler (FPK).
Jiografia[hariri]
Karinthia imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Tirol, Salzburg na Steiermark.
Miji mikubwa ni pamoja na Klagenfurt na Villach.
Drava na Gurk ni mito muhimu zaidi.
Picha za Karinthia[hariri]
-
Klagenfurt am Wörthersee
Tovuti za Nje[hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karinthia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|
|
|---|---|
| Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg | |