Jolen (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jolen ni mhusika wa kubuni ambaye amebuniwa na kampuni ya kutengeneza filamu huko nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics. Ni mmoja wa wasiobinadamu waliotumwa kama wajumbe katika Dunia.

Mhusika huyu amepewa nguvu zisizo za kawaida kama kuishi sana, nguvu nyingi za mwili pia na kasi kuzidi ile ya binadamu wa kawaida na mwenye uwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jolen (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.