Nenda kwa yaliyomo

Johnny Cash

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johnny Cash
Johnny Cash in 1969
Johnny Cash in 1969
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa J. R. Cash
Amezaliwa (1932-02-26)Februari 26, 1932
Kingsland, Arkansas, U.S.
Amekufa Septemba 12, 2003 (umri 71)
Nashville, Tennessee, U.S.
Aina ya muziki Country, rock and roll, muziki wa asili, injili, blues, rockabilly
Kazi yake mwimbaji/mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mwigizaji
Ala Sauti, gitaa, piano, harmonica
Aina ya sauti Besi-baritone
Miaka ya kazi 1955 - 2003
Studio Sun, Columbia, Mercury, American, House of Cash
Ame/Wameshirikiana na The Tennessee Three, The Highwaymen, June Carter, Statler Brothers, Carter Family, Area Code 615
Tovuti JohnnyCash.com
Ala maarufu
Martin Acoustic Guitars[1]

Johnny Cash (alizaliwa na jina la J. R. Cash mnamo tar. 26 Februari 193212 Septemba 2003) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Huyu anatazamiwa kama miongoni wa wanamuziki wenye athira kubwa katika medani ya muziki kwa muda wote. Hasa alifanya muziki wa country, nyimbo zake zikipigwa husika kuchanganya aina nyingi za muziki wa kama vile rockabilly na rock and roll (ususani wakati anaaza shughuli hizi), vilevile blues, folk na injili..

  1. Johnny Cash - Guitars and Equipment Uberproaudio.com. Retrieved on 2009-05-15.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johnny Cash kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.