Janina Minge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Janina Minge (2023)

Janina Madeleine Minge (alizaliwa 11 Juni 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ujerumani. Janina anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya SC Freiburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya Ujerumani U20.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Janine Minge und Giulia Gwinn erstellen Strafenkatalog", Schwäbische Zeitung, 15 November 2013. Retrieved on 3 October 2016. (German) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janina Minge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.