Iringa Vijijini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Iringa Vijijini (kijani) katika mkoa wa Iringa.
Wilaya ya Iringa Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Iringa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 245,623 [1].
| Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Idodi | Ifunda | Ilolompya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihorogota | Kiwere | Lumuli | Maboga | Magulilwa | Mahuninga | Malengamakali | Mgama | Mlowa | Mseke | Nduli | Nzihi | Ulanda | Wasa |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iringa Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |