Ifeanyi Chiejine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ifeanyichukwu Stephanie Chiejine (17 Mei 1983 - 21 Agosti 2019) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama mshambuliaji. Alicheza kwa mara ya mwisho katika klabu ya SSVSM-Kairat Almaty katika michuano ya Kazakhstan. [2] Pia alichezea katika ya FC Indiana katika ligi ya W-League nchini Marekani, KMF Kuopio na PK-35 Vanta nchini Finland na Zvezda Perm nchini Urusi. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Profile in soccerway.com
  2. Interview with Shek Borkowski in lta-agency.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ifeanyi Chiejine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.