Hikaru Kojima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hikaru Kojima (alizaliwa 25 Mei 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Omiya Ardija Ventus inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hikaru Kojima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.