Harald V wa Norwei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Harald V wa Norwei.

Harald V (alizaliwa 21 Februari, 1937) ni mfalme wa Norwei. Baba yake alikuwa Olav V, na mama yake alikuwa Märtha. Harald aliaga dunia 17 Januari, 1991. Yeye alikuwa mfalme wa kwanza kuzaliwa Norwei tangu miaka 600.

Harald alimoana na Sonjana wana watoto wawili: Märtha Louise (z. 1971) na Haakon Magnus (z. 1973).

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine