Gerald Edelman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Gerald Maurice Edelman (amezaliwa 1 Julai, 1929) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili mbalimbali. Mwaka wa 1972, pamoja na Rodney Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerald Edelman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine