Frank Domayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frank Raymond Domayo, (alizaliwa tarehe 16 Februari 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania. Anayecheza kama kiungo wa klabu ya Azam F.C. Na timu ya taifa ya Tanzania.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alicheza kwa mara yake ya kwanza katika kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania tarehe 26 Mei 2012 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi.

Alichaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Domayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.