Evie Rabjohn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evie Lauren Isabel Rabjohn (alizaliwa 28 Aprili 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza,ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Evie Rabjohn agrees to join United Women". www.manutd.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  2. "England - E. Rabjohn - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evie Rabjohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.