Emma Harries

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harries akiwa na West Ham United mnamo Agosti 2023

Emma Harries (alizaliwa 29 Machi 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Emma Harries - Flashscore.co.uk". www.flashscore.co.uk (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "England - E. Harries - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Harries kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.