Emily Newell Blair

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emily Newell Blair

Emily Newell Blair (Januari 9, 18773 Agosti, 1951) alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa nchini Marekani. Pia alikua kiongozi wa cha cha siasa cha Democratic Party, na mwanzilishi wa ligi ya wapiga kura wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emily Newell Blair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.