Ellie Brazil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellie Brazil

Ellie Jade Brazil (alizaliwa 10 Januari 1999 )[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellie Brazil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.