Eleanor Antin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eleanor Antin (alizaliwa Bronx, Februari 27, 1935[1] ) ni mwandaaji wa filamu na mwanasanaa wa nchini Marekani.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Wazazi wake, Sol Fineman na Jeanette Efron, walikuwa Wayahudi wa Poland ambao walikuwa wamehamia nchini Marekani hivi karibuni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eleanor Antin", Jewish Women's Archive; retrieved February 23, 2017.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eleanor Antin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.