Edward Norton
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Edward Norton | |
|---|---|
E. Norton |
|
| Amezaliwa | Edward Harrison Norton 18 Agosti 1969 Boston, Massachusetts, Marekani Kigezo:Flagicon |
| Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
| Miaka ya kazi | 1994-hadi leo |
Edward Harrison Norton (amezaliwa tar. 18 Agosti, 1969)[1] ni mshindi wa Tuzo ya Akademi na Golden Globe kwa mwaka wa 1997, akiwa kama mwigizaji na mtayarishaji bora wa filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuceheza katika filamu ya Primal Fear, American History X, Fight Club, The Italian Job, na The Incredible Hulk.
[hariri] Marejeo
- ↑ Edward Norton - Frequently Asked Questions. Retrieved on 2006-12-19.
[hariri] Viungo vya nje
- Edward Norton katika Internet Movie Database
- Edward Norton katika Notable Names Database
- Edward Norton katika Yahoo! Movies
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Norton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |