Drew S. Days III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Drew S. Days III

Amekufa Novemba 15 2020
Nchi Marekani
Kazi yake mwanasheria

|thumb|Drew S. Days III]] Drew Saunders Days III (Agosti 29, 1941Novemba 15, 2020)[1][2] alikuwa mwanasheria wa Marekani, ambae alitumikia kama Mwanasheria Mkuu mkuu wa Marekani kuanzia mwaka 1993 hadi kufikia mwaka 1996 chini ya Raisi Bill Clinton. Pia alitumikia kama kama mmarekani mweusi wa kwanza kuwa mwanasheria mkuu msaidizi wa kitengo cha kiraia katika utawala wa Carter kuanzia mwaka 1977 hadi mnamo mwaka 1980.[3]

Alikuwa ni profesa wa Alfred M. Rankin wa sheria katika shule ya sharia Yale, alianza kutumikia nafasi hiyo mnamo mwaka 1992 na kujiunga na kitivo cha sharia Yale mwaka 1981.[4] Kuanzia mwaka 1997 hadi kufikia mwaka 2011, aliongoza mahakama kuu na kufanya rufaa pale Morrison & Foerster LLP na alikuwa ni mshauri kwenye ofisi ya biashara ya Washington D.C.. Mpaka kustaafu kwake mnamo disemba 2011[5]. Aliweza kupata shahada yake ya sheria katika shule ya sheria ya Yale mwaka 1966.[6]Aliweza kukubaliwa kufanya sharia katika Mahakama kuu ya Marekani na katik1992a mataifa]] ya Illinois na New york .[7] 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The African American encyclopedia. Michael W. Williams. New York: Marshall Cavendish Corp. 1993. ISBN 1-85435-545-7. OCLC 27379905. 
  2. Days, Drew S.; Dimond, Paul R. (1986-07). "School Desegregation Law in the 1980's: Why Isn't Anybody Laughing?". The Yale Law Journal 95 (8): 1737. ISSN 0044-0094. doi:10.2307/796473.  Check date values in: |date= (help)
  3. Macias, Steven J. (2010-05). "Roger K. Newman, editor, The Yale Biographical Dictionary of American Law, New Haven, Conn.: Yale University Press, 2009. Pp. xiii + 622. $65.00 (ISBN 978-0-300-11300-6).". Law and History Review 28 (2): 567–569. ISSN 0738-2480. doi:10.1017/s0738248010000325.  Check date values in: |date= (help)
  4. Days, Drew S.; Dimond, Paul R. (1986-07). "School Desegregation Law in the 1980's: Why Isn't Anybody Laughing?". The Yale Law Journal 95 (8): 1737. ISSN 0044-0094. doi:10.2307/796473.  Check date values in: |date= (help)
  5. "Figure 3. Zfp335R1092W-induced T cell dysregulation affects mainly mature SP thymocytes and recent thymic emigrants.". dx.doi.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  6. "III. Attorneys". International Encyclopedia of Comparative Law Online. Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  7. Nolan, Sara (2008-02-22). "Employee Privacy: Guide to US and International Law, Morrison & Foerster LLP". Strategic HR Review 7 (2). ISSN 1475-4398. doi:10.1108/shr.2008.37207bac.003. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Drew S. Days III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.