Donati, Makari na Theodori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Donati, Makari na Theodori ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa mwanzoni mwa karne ya 4 kwa ajili ya imani yao. Donati alikuwa askofu wa Thmuis baada ya Fileas.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Mei[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ὁ Ἅγιος Δονάτος ὁ Ἱερομάρτυρας. 22 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.