Armadilo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dasypodidae)
| Armadilo | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Armadilo mikufu-tisa (Dasypus novemcinctus)
|
||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
|
||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||
|
familia 3:
|
Armadilo (kutoka Kihispania: armdillo) ni wanyama wadogo wa Amerika wenye mabamba ya mifupa juu ya mgongo yao. Wanafanana na kakakuona wa Afrika na Asia kijuujuu.
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Armadilo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |