Cristiano Piccini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huyu ni Cristiano Piccini

Cristiano Piccini (alizaliwa 26 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa Italia anayechezea katika Klabu ya Hispania Valencia na timu ya taifa ya Italia kama beki wa kulia.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Sporting CP[hariri | hariri chanzo]

18 Mei 2017, Piccini alisaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Sporting CP ya Ureno.Alicheza kwa mara yake ya kwanza katika klabu hiyo mnamo 6 Agosti walipata ushindi wa 2-0 dhidi ya C.D. Aves.

Valencia CF[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 23 Julai 2018, Piccini alisaini katika klabu ya La Liga Valencia.Katika msimu wake wa kwanza wa klabu, alicheza mechi 38 na aliweza kufunga goli 1.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aliiwakilisha Italia mnamo Oktoba 2018 ,Piccini alicheza katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa mnamo 10 Oktoba akingia kama mbadala katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Ukraine huko Genoa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cristiano Piccini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.