Courtney Nevin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nevin akiwa na timu ya taifa Australia mnamo 2019

Courtney Jade Nevin (alizaliwa 12 Februari 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama beki wa pembeni wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL)[1] na timu ya taifa ya wanawake ya Australia.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "LCFC Confirm Permanent Deal For Courtney Nevin". www.lcfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Japan U19 vs. Australia U19 - 6 November 2019 - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "MATILDAS SQUAD ANNOUNCED: FIFA Women's World Cup 2023™ | Matildas". www.matildas.com.au (kwa Kiingereza). 2023-07-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Courtney Nevin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.