Cosmas Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Cosmas Mtakatifu na Damian Mtakatifu

Cosmas Mtakatifu (alifariki kati ya 287 na 303) alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki. Pia alikuwa kaka ya Damian Mtakatifu.

Hali ya maisha na kifo chake haijulikani kwa uhakika.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Septemba.

Takriban mwaka 530, Papa Felix IV aliwatolea Cosmas na Damian Watakatifu basilika maarufu katika mji wa Roma.


Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cosmas Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: