Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo kikuu cha Iringa ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana mkoani Iringa, Tanzania.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1995 chuo kikuu cha Iringa kilianza, kikiwa kama chuo kikuu kishiriki chini ya chuo kikuu cha Tumaini[2].

Mwaka 1997 kikaanza kutoa astashahada, stashahada pamoja na shahada.

Tarehe 25 Oktoba 2013, chuo kikuu cha Iringa kikapewa rasmi hadhi ya chuo kikuu kutoka chuo kikuu kishiriki.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Chuo kikuu cha Iringa kina vitivo sita, ambavyo ni:

Vitivo hivyo vinavyotoa elimu katika fani mbalimbali kwa ngazi za:

  • Astashahada
  • Stashahada
  • Shahada
  • Shahada ya Uzamili

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-08. 
  2. "Historia ya chuo kikuu Iringa". www.uoi.ac.tz (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2019-11-08. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.