Chekehukwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chekehukwa
Chekehukwa wa Ulaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Burhinidae (Ndege walio na mnasaba na chekehukwa)
Jenasi: Burhinus Illiger, 1811

Esacus Lesson, 1831

Chekehukwa ni ndege wa familia ya Burhinidae. Ndege hawa wana rangi zinazowanyerereza wakisimama au kutembea chini. Wakiona hatari husimama tuli na hupatana na mahali pa nyuma. Kwa hivyo hawaoneki sana wakati wa mchana. Huenda zaidi usiku na huoneka mara kwa mara mwangani kwa mbele kwa gari. Husikika zaidi ya kuoneka. Wanatokea maeneo makavu na hula wadudu, mijusi na wanyama wadogo.

[hariri] Spishi za Afrika (na Ulaya)

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha