Cheikh El Hasnaoui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cheikh El Hasnaoui
Amezaliwa
alizaliwa katika mji mdogo karbu na TIZI ouzou.
Amekufa 2002
Ufaransa
Nchi Algeria
Kazi yake Muimbaji


Cheikh El Hasnaoui (19102002) alikuwa mwimbaji wa Kiberber aliyezaliwa katika mji mdogo karibu na Tizi Ouzou nchini Algeria .

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Aliimba muziki wa chaabi wa Algeria, na alikuwa, pamoja na Slimane Azem, aliyehusika kuweka misingi ya muziki wa kisasa maarufu wa Kabyle katika miaka ya 1950 na 1960 [1].

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Alifariki mnamo 2002 huko Saint Pierre de la Reunion, Ufaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]