Benguela (mkoa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Benguela


Benguela
Mahali paBenguela
Mahali paBenguela
Mahali pa Mkoa wa Benguela katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Benguela
Eneo
 - Jumla 31,788 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 656.600

Mkoa wa Benguela ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.

Una wakazi 656.600 kwenye eneo la km² 31,788. Makao makuu ya mkoa yapo Benguela.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Benguela (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.