Benguela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benguela ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola na ambao ni makao makuu ya mkoa wa Benguela.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 131,281[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Benguela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.